Michael Jackson hajawai kuwa na wa kumfananisha naye

Michael Jackson hajawai kuwa na wa kumfananisha naye

Ana swagger yake fulani inanikoshaga sana akiwa anacheza anashika kunako mbele dizain kama anaa......tih huku kasimamia vidole vya miguu
acha kabisaaa kuna ile anaslide inaitwa moon walk....kisha anafnya kama anatembea kama tom and jerry hivi "" ana snap finger then anashika ikulu daahh""
 
Unajua alichofanya wacko Jacko ni pure genius level talent.. Kuna watu kibao wana akili unayoamini ni akili kubwa lakini hawawezi kufanya hata robo ya anachofanya Michael Jackson.

Ukimuhukumu samaki kwa kutopanda mti kama tumbili na kuamini tumbili ni genius utamfanya samaki aamini Kwa miaka yake yote yeye ni mjinga but ukimpeleka kwenye maji huyo tumbili pia akashindwa kuogelea nae ataamini hana akili.

Kwa hiyo, kila mtu ni genius kwmeye field yake. Unadhani Messi angekuwa darasani si tungeamini hana akili but kwa vile yuko kwenye field yake tunaona genius level yake...Messi anafikiri na kufanya maamuzi in a milliseconds akiwa uwanjani binadamu wengi hawawezi kufanya hiki lakini darasani hakuna analojua.

Thus kila mtu ni genius and smart kwenye field yake. Na hii inaitimisha Michael ana akili sana and he is genius when it comes to his field..he is genius.
 
Kuna yule MChammer aliwahi kutamka yeye duniani ni wa kwanza kwenye ukali wa kuruka debe akifuatiwa na Michael Jackson.

Michael Jackson hakutoka dunia hii, ni wa kipekee na ataemdelea kuwa hivyo.
 
Kuna yule MChammer aliwahi kutamka yeye duniani ni wa kwanza kwenye ukali wa kuruka debe akifuatiwa na Michael Jackson.

Huyu alikuwa drug addict kwa hiyo labda alikuwa higher than a morfuker alipokuwa anasema hayo.

Michael is special..Trump mbaguzi wa rangi wakati ule alikuwa akiarika watu kwenye kasri lake alikuwa anaharika mtu mweusi mmoja tu nae ni Michael akiulizwa kwanini anasema "Michael is special" hivyo tu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Yes he was a very special person despite his short comings in many areas.

Kuna yule legendary wa pop and rock..James Brown aliwahi kuulizwa kuhusu Michael akasema "Michael makes me rethink why I'm I the king of pop while I see a young man who is legend at his young age."
 
  • Thanks
Reactions: BAK
"I was denied my childhood,I was never allowed to be a child.By the age 8yrs,I was a superstar already";Michael Jackson.
 
Ukisema alikua na kipawa cha kuimba na kucheza nakuelewa, ukisema alikua na akili sana sikuelewi, hakua na akili yoyote.

Binadam mwenye akili ya kawaida tu kwanza anaanza kujikubali alivyo, mtu asiejikubali ni kwamba ana mapungufu katika mfumo wake wa kufikiri.

Tofautisha kipaji na akili. MJ hakua na akili.
Kaka hakunaga standard mbona wewe unavaa suruali na mashati ambao si utamaduni wako umekuwa boya unaiga waliomchapa fimbo uchi babu yako,sasa extent ya kutojikubali kila mtu anaamua its a free world right
 
Jifunze kufikiri vizuri. Jifunze kujenga hoja yenye mantiki.

Nguo na rangi/umbile wapi na wapi? Jaribu kutoa mifano yenye akili.
 
Wamakonde wanavojitoboa mwili mzima ,wamasai wanapovuta misikio ka kiganja hao huwaoni ,muafrica kujipaka chokaa na kubadili muonekano je kungekuwa na technology asinge jichubua huyu,mambo ya muonekano in topic very subjective ,trust me kuna mamilioni ya watu hawaukubali muonekano wako kama wewe usivyoukubali wa the wacko
Jifunze kufikiri vizuri. Jifunze kujenga hoja yenye mantiki.

Nguo na rangi/umbile wapi na wapi? Jaribu kutoa mifano yenye akili.
 
Back
Top Bottom