Michael John Lema mchezaji wa Sturm Graz ya Austria

Michael John Lema mchezaji wa Sturm Graz ya Austria

Somi

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2009
Posts
3,921
Reaction score
4,858
Katika kupitapita nimekutana na Makala ya mwanaspoti ikielezea habari ya mchezaji chipukizi aliyezaliwa singida anaeitwa Michael John Lema.
Mchezaji huyu kwa sasa anachezea timu ya sturm graz ya daraja la kwanza ya Austria bundesliga. Vilevile amewahi kuwakilisha timu ya vijana ya Austria . Kwa mujibu wa Lema ndoto yake ni kuchezea Taifa stars. Mwito ni viongozi wa FA kujenga mawasiliano na huyu mchezaji ili azidi kupata hamu ya kuwakilisha Tanzania asije akabadili gia angani nakuchezea Austria
 
Dogo huyo hapo
Screenshot_2019-01-08-15-55-00.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom