Michael Martin aitabiria Arsenal Ubingwa

Ametumia vibaya akili yake huyo
Eti mzungu katumia akili yake vibaya nmecheka sana,,siyo kwamba nakubaliana nae kila atabilicho ndicho sahihi hapana,,ila kutumia akili yake vibaya hapo ndipo napo cheka,,chukua ubongo wake na wako alafu upime nani zaidi...Kabla hata ya kupima inaonyesha wewe ndio umeongea bila kufikiria..

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ni MTU pekee aliyetabiri Leicester kuchukuwa EPL kabla ya msimu kuanza...Chelsea pia..mnajimu nguli

Anatokea nchi gani? Anaishi wapi? mbona hata kwenye google hayupo huyu kiumbe?
Mnajimu nguli anakosekana hata google?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…