Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti mzungu katumia akili yake vibaya nmecheka sana,,siyo kwamba nakubaliana nae kila atabilicho ndicho sahihi hapana,,ila kutumia akili yake vibaya hapo ndipo napo cheka,,chukua ubongo wake na wako alafu upime nani zaidi...Kabla hata ya kupima inaonyesha wewe ndio umeongea bila kufikiria..Ametumia vibaya akili yake huyo
Ni MTU pekee aliyetabiri Leicester kuchukuwa EPL kabla ya msimu kuanza...Chelsea pia..mnajimu nguli