Michael Scofield Ajitangaza yeye ni SHOGA

Michael Scofield Ajitangaza yeye ni SHOGA

Dah...imenisikitisha na kunitia hasira.....imenifanya nione iilikuwa ni dhambi na ujinga kuangalia ile series ...
 
Pole sana.
Kuna binti anadai hii habari ni kama msiba kwake lol

Kwa kweli hata mimi imeniumiza sana..! Huyu kaka nilikuwa sichoki kumwangalia vile anavyoigiza..!
Mmmh... Mbona majanga..!!
 
ingakuwa ni amri yangu mashoga wote duniani wangeuawa,demokrasia imepelekea yote haya
 
Mkuu huogopi kumkufuru Mungu?..

Vitabu gani hivyo unasoma vinakwambia hivyo au ww unaabudu ile miungu ya kuweka mfukoni?...

gay are naturally born people just like albino, you and me!!!! they are God people just like everybody so there is nothing to be suprised about for someone to be gay!!!
 
gay are naturally born people just like albino, you and me!!!! they are God people just like everybody so there is nothing to be suprised about for someone to be gay!!!

acha uwongo wewe wengi wao ni tamaa za kimwili na pesa
 
Hawa machoko wawe wanatiwa bakora udhaifu gani wa kujiendekeza huo kwani ukikuna sikio na kusikia raha ndo uingize gunzi sikioni Kaaba Yule asituchefue
 
Nahisi anajisingizia! Mkuu Neylu, usimie sana! Kama vp njoo rock city nikufariji kiaina!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom