Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oh man ...!!
Mahandsome ndio huwaga mashoga sasa huwa hujui?
Jamani mwenye series nzima ya preason break na jumong naomba anisaidie!
Sijazimalizaga hizo series wadau..
Hahahah mkuu unajipa hope na sura ya bibi nn?
Nnayo prison break season 1-4......unapatikana wapi mkuu.....?
Ukiamini shauri yako..Wenzako hapo wanaigiza..😉
Wanaweka ushawishi watu wajitangaze..Hata kwenye HIV..
Wazungu wanatumia nguvu kubwa sana kuhamsisha ushoga..
Usishangae Ikapokelewa Africa kwa nguvu..Na hivi tulivyo ombaomba?..Iko siku itakuwa Moja ya masharti..😉
Na hao ndio wanaoitwa vioo vya jamii!jamii watch out!
Na hao ndio wanaoitwa vioo vya jamii!jamii watch out!
Mkuu nipo mabibo.....dar es salaammkuu kwanza nikushukuru kwa moyo wako ulioonyesha kwangu.
mimi niko kinondoni, dar es salaam, vp wewe unapatikana wapi?
Sasa na hawa wakwetu wakianza kujitangaza si ndio utazimia! Wewe usione madume wananyoa nyusi halafu ukadhani ni bahati mbaya. Na siku ukimjua anayemparamia mtu kama JB, ni kajamaa ambako hakajai hata mkononi, ndio Utakufa kabisa.