Michael Scofield exposes his boyfriend

Jamani mwenye series nzima ya preason break na jumong naomba anisaidie!

Sijazimalizaga hizo series wadau..
 
Duh wazee wanakula kisamvu..... Haya bwana ila una mkwaza Muumba
 
Kumbe ni boyfriend wa siku nyingi, haya waunite wawe man united make nkisema ndoa ni dhambi
 
Nnayo prison break season 1-4......unapatikana wapi mkuu.....?

mkuu kwanza nikushukuru kwa moyo wako ulioonyesha kwangu.

mimi niko kinondoni, dar es salaam, vp wewe unapatikana wapi?
 
Ukiamini shauri yako..Wenzako hapo wanaigiza..πŸ˜‰

Wanaweka ushawishi watu wajitangaze..Hata kwenye HIV..

Wazungu wanatumia nguvu kubwa sana kuhamsisha ushoga..

Usishangae Ikapokelewa Africa kwa nguvu..Na hivi tulivyo ombaomba?..Iko siku itakuwa Moja ya masharti..πŸ˜‰
 

There is truth in your point...
 
jembe ni jembe!! hao ambao sio ma gay hawjafikia kiwango chake cha ki sanii.
 
Na hao ndio wanaoitwa vioo vya jamii!jamii watch out!

Sasa na hawa wakwetu wakianza kujitangaza si ndio utazimia! Wewe usione madume wananyoa nyusi halafu ukadhani ni bahati mbaya. Na siku ukimjua anayemparamia mtu kama JB, ni kajamaa ambako hakajai hata mkononi, ndio Utakufa kabisa.
 
kuna mtu humu alikuwa anajiita scoffield, kapotelea wapi? au kabadili jina?
 
Sasa na hawa wakwetu wakianza kujitangaza si ndio utazimia! Wewe usione madume wananyoa nyusi halafu ukadhani ni bahati mbaya. Na siku ukimjua anayemparamia mtu kama JB, ni kajamaa ambako hakajai hata mkononi, ndio Utakufa kabisa.

Jb? Natetemeka aiseeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…