Michael Scofield Habari nyingne

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
21,952
Reaction score
43,265
Aisee katika pita pita zangu naona watu wanajaribu kumfananisha Scofield na Professor sasa Najiuliza hawa wamevuta bhangi ya wapi??? Maana scofield kile kichwa Kingine yani series ya Prison break ilikuwa mwisho wa episode moja una maswali mia kidogoo.... zile akili za scofield mpaka anatoroka gerezani aisee acha kabisaa...[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Hapo ndio watu huwashangaza! Kwa ubora wa kazi ile kama unasifu akili kubwa iliyotumika msifu script writer na director, Michael Scofield ni muigizaji tu, nyuma yake kuna watu wenye akili kubwa ndi wameleta kazi mezani na wewe kuipenda, yeye mpe credit za kuitendea haki nafasi yake.

Hili halina tofauti na ngonjera za sasa kuhusu ujenzi wa JKNIA
 
Hao watu walikusanya mawazo yao yote na kumpa Michael na ndiye aliyeyawasilisha kwetu.

Uliwahi kusikia watu wanamsifu Sir Ferguson au wanamsifu CR7 mwenyewe.
 
Wote wapo poa... ila huyo wa Prison Break habari zake siyo nzuri...



Cc: mahondaw
 
Kila mmoja amevaa uhusika wake vizuri kwa wakati wake...uzuri wa movie za wenzetu kila kitu kiko listed so ni ku act tu
 
Ushoga wa Michael upo kimarket zaidi, kumbukeni marekani hawafikiri kama tunavyofikiri waafrika
Laiti kwenye prison break angefanya ushoga wake tulipaswa kumkataa kwa mitazomo ya maadili yetu, tofauti na apo Michael ni genius
 
Hao watu walikusanya mawazo yao yote na kumpa Michael na ndiye aliyeyawasilisha kwetu.

Uliwahi kusikia watu wanamsifu Sir Ferguson au wanamsifu CR7 mwenyewe.
Kwa tasmia ya filamu, wanaweza kusema "cut cut" kama jamaa anashemka na murekebisha, pia cgi effect pia zinaweza kuwekwa kunogesha, tofauti na soka which is jasho na damu kuchemka kwa uweza binafsi wa mchezaji, japo kuna formation za kocha na ukichemsha unadoda mwenyewe.
 
Michael ni mjinga sana ila ushoga wake umefanya kutokuipenda tena PB.
Wewe mwenyewe tangu uzaliwe hujawahi kufanya jambo lolote ambalo ni significant kwenye jamii yako. Bora mwenzako shoga ana cha kujivunia duniani.
 
Michael scofield anastahili pongezi za hali ya juu. Hao script writer waliandika ile series na wakamtafuta mchezaji for sometimes, interview ilifanyika kwa watu zaidi ya 1000 na ndio akapatikana Wentworth Miller (Michael Scofield).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…