Ona sasa umeanza kutoa sifa zenu mashoga mliokosa mafanikioHatujuani humu kaa utulie usiniletee utandu wako wa makalio hapa.
Mimi nljilaumu snaa kuna kipind nlkua najiita aka ya scofield kwenye email flanMichael ni mjinga sana ila ushoga wake umefanya kutokuipenda tena PB.
[emoji28]Hatujuani humu kaa utulie usiniletee utandu wako wa makalio hapa.
Ni wachache sana wanafahamu hili!Hapo ndio watu huwashangaza! Kwa ubora wa kazi ile kama unasifu akili kubwa iliyotumika msifu script writer na director, Michael Scofield ni muigizaji tu, nyuma yake kuna watu wenye akili kubwa ndi wameleta kazi mezani na wewe kuipenda, yeye mpe credit za kuitendea haki nafasi yake.
Hili halina tofauti na ngonjera za sasa kuhusu ujenzi wa JKNIA
Unaweza kumsifia Michael na mwigizaji mwingine yeyote kwa kuigiza vizuri! Kwa kujenga vema uhalisia! Lakini linapokuja suala la akili inayoonekana kwenye filamu, anayepaswa kusifiwa ni Mwandishi kwa sababu yeye ndie creator wa mchezo mzima, na pili Director kwa sababu huyu ana kazi ya ku-transform maandishi kuyaleta kwenye picha! Mwandishi ataandika ndege ikitunguliwa kwa makombora angani na kukatika vipande vipande vinavyodondokea Bahari ya Hindi, Director itabidi afanye kazi ya ziada ya kuitengeneza hiyo scene kama ilivyoandikwa na Mwandishi! Mwigizaji yeye atafuata maelekezo tu ya kile kilichoandikwa na maelekezo ya Director!Hao watu walikusanya mawazo yao yote na kumpa Michael na ndiye aliyeyawasilisha kwetu.
Uliwahi kusikia watu wanamsifu Sir Ferguson au wanamsifu CR7 mwenyewe.
Umemaliza yote, na ukishakuwa una uwezo wa kutambua hilo, movie nyingi utaziona za kawaida sana.Hapo ndio watu huwashangaza! Kwa ubora wa kazi ile kama unasifu akili kubwa iliyotumika msifu script writer na director, Michael Scofield ni muigizaji tu, nyuma yake kuna watu wenye akili kubwa ndi wameleta kazi mezani na wewe kuipenda, yeye mpe credit za kuitendea haki nafasi yake.
Hili halina tofauti na ngonjera za sasa kuhusu ujenzi wa JKNIA
[emoji1787][emoji1787]Hatujuani humu kaa utulie usiniletee utandu wako wa makalio hapa.
[emoji28] [emoji28] [emoji28]Mimi nljilaumu snaa kuna kipind nlkua najiita aka ya scofield kwenye email flan
Aah nlvyojua Ni shoga aisee najilaumugu mpaka kesho sitaki hata kuiskia ani