Michael Scofield Habari nyingne

Michael Scofield Habari nyingne

Kwanini waigizaji wa series ni wachache hufanikiwa kwenye movies?
 
Kuwalinganisha hao jamaa wawili ni utovu wa nidhamu. Tulia angalia movie na shukuru kuwepo kizazi hiki
 
Hapo ndio watu huwashangaza! Kwa ubora wa kazi ile kama unasifu akili kubwa iliyotumika msifu script writer na director, Michael Scofield ni muigizaji tu, nyuma yake kuna watu wenye akili kubwa ndi wameleta kazi mezani na wewe kuipenda, yeye mpe credit za kuitendea haki nafasi yake.

Hili halina tofauti na ngonjera za sasa kuhusu ujenzi wa JKNIA
Ni wachache sana wanafahamu hili!
 
Hao watu walikusanya mawazo yao yote na kumpa Michael na ndiye aliyeyawasilisha kwetu.

Uliwahi kusikia watu wanamsifu Sir Ferguson au wanamsifu CR7 mwenyewe.
Unaweza kumsifia Michael na mwigizaji mwingine yeyote kwa kuigiza vizuri! Kwa kujenga vema uhalisia! Lakini linapokuja suala la akili inayoonekana kwenye filamu, anayepaswa kusifiwa ni Mwandishi kwa sababu yeye ndie creator wa mchezo mzima, na pili Director kwa sababu huyu ana kazi ya ku-transform maandishi kuyaleta kwenye picha! Mwandishi ataandika ndege ikitunguliwa kwa makombora angani na kukatika vipande vipande vinavyodondokea Bahari ya Hindi, Director itabidi afanye kazi ya ziada ya kuitengeneza hiyo scene kama ilivyoandikwa na Mwandishi! Mwigizaji yeye atafuata maelekezo tu ya kile kilichoandikwa na maelekezo ya Director!

Sio mbaya, katika simulizi za kawaida kama hizi, anaweza kusifiwa Michael lakini kitalaamu Michael anaweza kusifiwa kwa uigizaji uliotukuka na sio akili anayoonesha kwenye PB!

Tena Michael mwenyewe akadhani kuandika ni jambo rahisi! Ile mwaka jana akapeleka proposal in the form of storyline kwa ajili ya PB Season 6! Nilicheka sana wakati naisoma ile storyline!
 
You know what I want, to not have to be the older brother for my older brother. You know, we spend so much of our lives not saying the things we want to say, the things we should say.
 
Hapo ndio watu huwashangaza! Kwa ubora wa kazi ile kama unasifu akili kubwa iliyotumika msifu script writer na director, Michael Scofield ni muigizaji tu, nyuma yake kuna watu wenye akili kubwa ndi wameleta kazi mezani na wewe kuipenda, yeye mpe credit za kuitendea haki nafasi yake.

Hili halina tofauti na ngonjera za sasa kuhusu ujenzi wa JKNIA
Umemaliza yote, na ukishakuwa una uwezo wa kutambua hilo, movie nyingi utaziona za kawaida sana.

Hii PB nimeiangalia more than ten times na sii choki.
 
Back
Top Bottom