CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 933
Salamu zikufikie ewe waziri wa elimu na jopo lako.
Kilio changu kwako ni michango ya kila wiki ktk shule ya msingi 'MINAZI MIREFU na AIR WING,sijui kama ndio mishahara tunalipa sisi wazazi au lah.
Michango hii imepewa majina ya kuvutia ili kuwaadaa wazazi.
La pili ni tuition za lazima,na mtoto asiposoma tuition hapo hapo shuleni,tuition ambayo ni tsh5,000 kwa mwezi eti mtoto anakula mboko,kwani ni lazima mtoto wangu asome tuition hapo shuleni?hivi kwani hapo ni shuleni au ni tuition centre?
Huu upumbavu usipokomeshwa basi jiandaeni kwa maafa makubwa.Wazazi tumefanya kikao na tumefikia kwa kauli moja kwamba michango hiyo lazima ikomeshwe mara moja!!!
La mwisho ni juu ya mchango wa boresha elimu, mh naomba ufafanuzi juu ya hili?jee ni lazima au ombi?na hiyo elimu anaboreshewa nani endapo mtoto wa darasa la 4 hajui ata kuandika jina lake?simple!huu mchango naona sii wa boresha elimu,bali ni wa boresha tumbo!
Maana leo ni siku ya tatu mwanangu hataki kwenda shule anaogopa bakora kwa kukosa pesa ya boresha ekimu.Sasa nimeamua kumnyima pesa na kesho aende shule ili nimjue huyo kidume aliyetia mbegu kwa mke wangu na kumzaa huyo mtoto,na ole wake atakayemgusa kwa kumchapa viboko,nyambafu zake atanijua mimi ni nani.Huu upumbavu na ujinga sasa mimi ntaukomesha kwa mikono yangu,vinginevyo wambie walimu wako wajiandae kula kichuri cha kinyesi!
Yani mtoto wa darasa la pili analipa zaidi ya tsh 150,000 kwa mwaka?huu ujinga ujinga wa kuwachangia walimu wenu pesa za vipodozi na mafuta ya magari yao sasa basi na lazima ukomeshwe.
Mh waziri nimeamua kukupa taarifa hizi kupitia JF maana ndio sehemu pekee utakayo pata taarifa kwa wepesi.
Mungu ibariki Tanzania,Mungu ibariki CCM!!