Michango kuwanusuru viongozi: CHADEMA imekubali hatia?

At the end of the day kesi yenyewe imekaa kibinafsi vile vile

Sent using Jamii Forums mobile app
 

..wanayo nafasi ya kukata RUFAA.

..Kwa mfano, Bob Chacha Wangwe alipohukumiwa alilipa faini, halafu baadae akakata rufaa, na kushinda rufaa hiyo.
 
Mahakama si inaweza kuanza kutumika kama chanzo kipya cha mapato? Hapa jibu ni kwamba sio inaweza kuanza, iliishaanza muda mrefu na ulikaa kimya! Kama ni kweli umefuatilia hii kesi bila shaka utakuwa mkkweli ukikubaliana na mimi kwamba hata wangekata rufaa wapi, hawawezi kuchomoka. Kwa sababu ya malengo ya kesi yenyewe, wananchi kuchangia hawa ndugu wa katoka itakuwa ushindi mkubwa kuliko kutafuta rufaa ambayo matokeo yake inaweza kuwapoteza kabisa! Mahakama ya umma inajua hawa ndugu hawana hatia. Na hiyo ndio mahakama nzuri kuliko hii tunayoilipia kodi zetu!
 

Ingekuwa mahakama ziko huru hapo wangeweza kukata rufaa. Lakini hizo mahakama zinazotumika kama mpira wa kiume bora kulipa, atakapokuja rais anayeheshimu sheria na sio mlevi wa madaraka rekodi zitawekwa sawa. Kwa sasa acha waende hivyo hivyo na huyo mlevi wa madaraka.
 
Kumbuka kabendera na wengine juu ya uhujumu uchumi...
Gurudumu linaonekana linapoelekea..
Mtego umeonekana umetegwa....
Kwa nn kumpatia mwingine faida?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu Chadema mbona hawajaomba michango ila kilichofanyika ni kwamba wapenda haki ndani na nje ya nchi Ndio tumehamasishana kwa ajili ya kutoa michango..hakuna kiongozi wa cdm aliyesema tunaomba tuchangiwe lakini baada ya watu kuonyesha nia humu ndo imebidi viongozi nao waunge mkono wazo la wapenda haki katika mitandao ya kijamii. Kutoa ni moyo na si utajiri..
 
Hata ofisi hayana. Pesa zinaliwa tu. Serikali hii ni kama desi tunaomba muingilie kati watu wasiliwe pesa zao. Donation kwanza lazima iwe na risiti La sivyo wanatakatisha pesa hawa.
 
Enyi viongozi wa vyama vya upinzani tuonesheni umoja muwe mfano ktk kuchangia wenzenu... Ndugu Seif,zitto,mbatia,membe nk m pledge mtatoa ngapi?!
Mm sinachama ila ntatoa 2000 kesho nkifanikiwa
 

Kukata rufaa nikuzidi kupoteza muda miaka miwili wanahangaika kili week mahamamani mpaka Leo imetoka hukumu bora hivo wafuate nyayo ya mzee wetu mwenye siasa za kistarabu gwiji wa siasa wa Afrika asiye kubali kuyumbishwa na kununuliwa si mwingine ni yule mpemba wa mtambwe nyali Maalim Seif Sharif Hamad alipo amua kumuachia chama Lipumba na Maalimu akamua kuenda ACT wazalendo alikataa kukata rufaa japo yeye ndie muanzilishi wa chama kile lkn aliamua kumuachia kwa vile mahakama ilifungwa mikono na midomo na ilifumbwa macho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…