Michango kuwanusuru viongozi: CHADEMA imekubali hatia?

Hata hivyo naona adhabu iliyotoka ni nyepesi, wahusika washukuru kulipa faini na kuendelea na maisha ya kiasiasa kwa kufuata taratibu.
 
Uonevu huwavuta watu wa haki pamoja. Kinachooendelea katika utoaji wa michango ndio hicho. Suala sio pesa bali ni muungano wa watu dhidi ya uonevu.
Tuchange hata zaidi ya inavyotakiwa ili kuwadhihirishia madikteta kuwa katika dhuluma na uonevu, wananchi tunasimama pamoja.
 
Kulipa faini ni kukubali kosa, maana yake wamekutwa na jinai ivyo ubunge udiwani wasahau

Akili ndogo, inakutosha mwenyewe. Soma uelewe sheria inasemaje. Ni kifungo cha kuanzia miezi mingapi ndicho kinachomnyima haki muhusika asigombee ubunge au udiwani. Viongozi wa CHADEMA wamehukumiwa pungufu ya miezi hiyo.
 

Kesi inechukua miaka miwili,

Rufaa itachukua miaka miwili pia,

Ni bora kulipa faini.

Muuaji wa Akwilina atalipwa MUNGU.
 
Kubali usikubali maamuzi hayatoki mahakamani, kumbuka jaji mkuu mstaafu alisema maelekezo ya hukumu yanaiapa wakati mgumu mahakama, ukiikataa hukumu utakwenda mahakama ipi ili upate haki.
 
..hapa umepitiliza.

..unaweza kuwadhihaki CDM.

..lakini siyo vizuri kudhihaki familia iliyopoteza binti waliyekuwa wakimtegemea.
Huwezi kumkuta johnthebaptist akiongea ujinga kama huo, akili tope wanazo kina Polepole, jingalao, Etwege, Kawe Alumni, thetallest na Wakudadavua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unashangaa nini? Ulikuwa hujui?
 
Wiseman734, safi sana kwa ufafanuzi huu, ni imani ysngu kuwa vilaza wanaokurupuka kutoa maoni yasiyo na kichwa wala miguu watajifunza kupitia bandiko hili. Bravo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Bora kulipa hio hela kuliko kusumbuliwa na mahakama kila siku


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakukuwa na kesi ya mauaji acha uongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wiseman734, safi sana kwa ufafanuzi huu, ni imani ysngu kuwa vilaza wanaokurupuka kutoa maoni yasiyo na kichwa wala miguu watajifunza kupitia bandiko hili. Bravo!

Sent using Jamii Forums mobile app

..bora wangewafunga viongozi wanaume.

..lakini kitendo cha kuwafunga viongozi wanawake kwa kweli kimeidhalilisha nchi.

..kama watawala wamekuwa MAKATILI kwa wanawake basi ndiyo wamehitimu kuwa "SKUNKS" kama alivyopata kutabiri Tundu Lissu.
 
Ndio wapate sasa picha kuwa Oktoba 2020 wasifanye ule ujinga wao waliofanya mwaka 2019.

Sasa hivi watu wapo smart sana zaidi ya wanavyofikiria.

By

Mtoto wa mjini

Nyamagana stand up.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…