Ambacho hujaelewa ni kipi? Maana nineandika maneno machache sana, utakuwa una mtindio wa ubongo!Una uelewa mdogo wa mambo halafu unaficha umbumbumbu kwa kutumia jazba
Sent using Jamii Forums mobile app
#statesmann Ingekuwa wewe ungechagua jela au ungelipa au ungeomba msaada wa pesa ili uachiwe?Kwanini wasiende kutumikia jela miezi 5 ni michache sana
bora hizo pesa wakanunue kiwanja cha kujenga ofisi ya makao makuu ya chama chao
Ndiyo ila huyo analipiwa na CCM kupitia kwa PolepoleHivi ile 350m ina include na faini ya Mashinji?
Nilikuwa sijui nini? Na nimeshangaa nini?Unashangaa nini? Ulikuwa hujui?
Je Kama mahakama ya juu ikitengua hukumu wakati wao wameshalipa fain watarudishiwa pesa waliyotoaMtoa mada ipo hivi hukumu iliyotolewa leo haiwezi kutenguliwa kwa kusudio la mshtakiwa kukata rufaa!! Kisheria hukumu huwa inatekelezwa huku taratibu za rufaa zikiendelea!!
Hukumu ya awali itabatilishwa na hukumu ya mahakama ya juu zaidi kwenye shauri hilo!! Ndipo utekelezaji wa adhabu ya awali hukomea hapo
Kukata rufaa ni process kama ilivyo process ya kuhukumiwa...Kulipa faini ni kukubali kosa, maana yake wamekutwa na jinai ivyo ubunge udiwani wasahau
Hivi ikitokea wakakata rufaa na ikakubaliwa kwa kushinda kesi, mahakama (serikali) itapaswa kuwarudishia fedha zao. Je, naweza kudai 2000 niliyochanga wanirudishie?Wanaweza kukata rufaa na huku tayari wamekwishalipa faini zao LAKINI rufaa yao ikikubaliwa na baadaye wakashinda kesi kila mmoja anaweza kurudishiwa fedha alizotoa kama faini.
Kitendo cha kukutekeleza hukumu hasa kwa faini ni prima facie kwamba umekubaliana na hukumu unequivacally ni sawa kwamba tayari amekwisha tumikia kifungo cha muda aliopewa pale ambapo hukumu inatolewa ina alternative hivyo hawezi kukata rufaa kwa kitu ambacho amekubaliana nacho kama kilivyo na kukubali kuilipa serikali garama ya uovu alioufanya. Kitu ambacho alitakiwa kufanya ni kutoa notice of appeal na ku omba bail pendaing appeal hapo ingeshika maji lakini hii rufaa ni sawa sawa na rufaa inayokatwa kwa mtu aliye plea kosa unequvacal. Otherwise wa appeal kwenye point of law not fact.Mtoa mada ipo hivi hukumu iliyotolewa leo haiwezi kutenguliwa kwa kusudio la mshtakiwa kukata rufaa!! Kisheria hukumu huwa inatekelezwa huku taratibu za rufaa zikiendelea!!
Hukumu ya awali itabatilishwa na hukumu ya mahakama ya juu zaidi kwenye shauri hilo!! Ndipo utekelezaji wa adhabu ya awali hukomea hapo
Mashinji yy ni mwenye nyumba halipi kodiHivi ile 350m ina include na faini ya Mashinji?
Michango ni kawaida kwa chadema Tangu lisu enzi za lisuAcheni kutupa hela kwa mla ruzuku Mbowe na genge lake
Unaendesha corola ulikuwa chinaKama hujui soma kwanza uzi na mawazo ya wachangiaji. JF kila swali lina jibu lake. USIKURUPUKE
Kulipa faini ni kukubali kosa, maana yake wamekutwa na jinai ivyo ubunge udiwani wasahau
Hata ukikata rufaa siyo kwamba unatoka mara moja. Pili wamepewa option mbili kufungwa au kulipa fine. Badala ya kukaa gerezani wakati rufaa yao inataka kusikilizwa bora walipe fine wakati rufaa yao inasikilizwa. Kipi kuwa nje na kukata rufaa au kuwa ndani na kukata rufaa? Kukata rufaa hakukupi uhuru wa kuwa nje ya gereza mpaka hapo utakapokuwa umeanza kusikilizwa rufaa yako na kuomba bail ya kuwa nje. Sasa jaribu kufikiri rufaa yako inaanza kusikilizwa baada ya miezi miwili, unataka muda huo uwe ndani?Kulipa faini ni kukubali kosa, maana yake wamekutwa na jinai ivyo ubunge udiwani wasahau