KAKA NASOKI
Senior Member
- May 25, 2016
- 191
- 212
Nimesikitishwa na wanafunzi wapya wa kidato cha kwanza, wasiotoa michango ya madawati kurudishwa nyumbani au kukaa chini hadi walipe michango. Nimejaribu kupiga namba za DC 023 2333 928 kuulizia hili haikujibiwa.
Naomba kama anaona message hii atoe ufafanuzi au mwenye namba nyingine anipe. Hususan shule ya Mangamba, kule kwa walala hoi.
Naomba kama anaona message hii atoe ufafanuzi au mwenye namba nyingine anipe. Hususan shule ya Mangamba, kule kwa walala hoi.