KAKA NASOKI
Senior Member
- May 25, 2016
- 191
- 212
Michango gani tena?Nimesikitishwa na wanafunzi wapya wa kidato cha kwanza, wasiotoa michango ya madawati kurudishwa nyumbani au kukaa chini hadi walipe michango. Nimejaribu kupiga namba za DC 023 2333 928 kuulizia hili haikujibiwa.
Naomba kama anaona message hii atoe ufafanuzi au mwenye namba nyingine anipe. Hususan shule ya Mangamba, kule kwa walala hoi.
Kwa sababu ni elimu bila malipo/elimu bureKwanni wamegoma kutoa michango hao wanafunzi?
Acha kupenda vya bure wewe, Mimi mwenyewe Kuna dogo nampeleka next week akaanze shule nimeambiwa nipeleke kiti na meza nimechukulia kawaida tu, Kama vipi mpeleke shule ya baba ako(yaani shule ya babu yake huyo mwanao) ambayo hakuna mchango hata kidogo. Mtoto umemzaa mwenyewe unapenda vya bure bure tu.Nimesikitishwa na wanafunzi wapya wa kidato cha kwanza, wasiotoa michango ya madawati kurudishwa nyumbani au kukaa chini hadi walipe michango. Nimejaribu kupiga namba za DC 023 2333 928 kuulizia hili haikujibiwa.
Naomba kama anaona message hii atoe ufafanuzi au mwenye namba nyingine anipe. Hususan shule ya Mangamba, kule kwa walala hoi.
uza simu umpeleke mtoto shuleNimesikitishwa na wanafunzi wapya wa kidato cha kwanza, wasiotoa michango ya madawati kurudishwa nyumbani au kukaa chini hadi walipe michango. Nimejaribu kupiga namba za DC 023 2333 928 kuulizia hili haikujibiwa.
Naomba kama anaona message hii atoe ufafanuzi au mwenye namba nyingine anipe. Hususan shule ya Mangamba, kule kwa walala hoi.
Hali ngumu ya maishaKwanni wamegoma kutoa michango hao wanafunzi?
Eeenh. Wacha bhana.Acha kupenda vya bure wewe, Mimi mwenyewe Kuna dogo nampeleka next week akaanze shule nimeambiwa nipeleke kiti na meza nimechukulia kawaida tu, Kama vipi mpeleke shule ya baba ako(yaani shule ya babu yake huyo mwanao) ambayo hakuna mchango hata kidogo. Mtoto umemzaa mwenyewe unapenda vya bure bure tu.
Hii series ina episodes zinaliza sana!ππ
Kwa hiyo unataka kama madawati hayatoshi kwa wanafunzi wapya mwanao akalie jiwe?Nimesikitishwa na wanafunzi wapya wa kidato cha kwanza, wasiotoa michango ya madawati kurudishwa nyumbani au kukaa chini hadi walipe michango. Nimejaribu kupiga namba za DC 023 2333 928 kuulizia hili haikujibiwa.
Naomba kama anaona message hii atoe ufafanuzi au mwenye namba nyingine anipe. Hususan shule ya Mangamba, kule kwa walala hoi.
Hawajalipwa pesa yao ya korosho? Lazima irudi japo kidogo.Nimesikitishwa na wanafunzi wapya wa kidato cha kwanza, wasiotoa michango ya madawati kurudishwa nyumbani au kukaa chini hadi walipe michango. Nimejaribu kupiga namba za DC 023 2333 928 kuulizia hili haikujibiwa.
Naomba kama anaona message hii atoe ufafanuzi au mwenye namba nyingine anipe. Hususan shule ya Mangamba, kule kwa walala hoi.
Sadaka etiToa ndugu, toa ndugu ulichonacho!
[emoji276][emoji1535]