Michango makanisani chanzo umaskini

Michango makanisani chanzo umaskini

Sijawahi kutoa hilo fungu la 10.
Zaidi natoa sadaka tu kulingana na navyo wiwa moyoni.

Katika washirika ambao hawatoi fungu la 10 mimi nimo sasa sijui watanitenga au vipi watajua wenyewe.
 
Back
Top Bottom