GE2025 Michango mikubwa ya Chama kimoja inaweza kuamua matokeo ya Uchaguzi Mkuu?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wakuu!

Harambee za kisiasa zimekuwa sehemu ya kawaida katika kampeni, na Tanzania hatuko mbali na hilo.

Hofu yangu michango mikubwa, hasa inapokusanywa na chama kimoja, huibua mjadala iwapo nguvu ya fedha inaweza kushinda hoja na sera.

CCM, kwa mfano, jana Agosti 12 ilifanya harambee na kukusanya Tsh bilioni 86.36 kati ya lengo la bilioni 100 kwa ajili ya kampeni, jambo linaloibua maswali kuhusu nafasi ya fedha kwenye ushindani wa kisiasa.

Je, hii sio ishara ya ushindi Kwa Chama chenye Billioni 100 Kwa ajili ya uchaguzi peke yake?
 
Lungu alikuwa na hazina yote ya Zambia, hichilema akamfyagia.
 
Tuwe wakweli bila CDM kushiriki uchaguzi haupo. eti chaumma, act laah
Ni kupotezeana muda
 
Back
Top Bottom