shushushu VIP
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 4,799
- 4,312
Wamepona watatu wachezaji na wengne watatu abiria wa kawaidaahivi wamekufa wote
Mzee wenger noumaMzee Wenger anapenda sana 4.
Wanabana matumiziarsenal waache utani
Mhhh maneno hayoMzee Wenger
The best 'mchumi' katika ulimwengu wa soka.
Ziende direct kwa wahanga (timu /families), siyo kujengea miundo mbinu ya FIFA
KADA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji87] [emoji23] Nafasi pendwa hiyoMzee Wenger anapenda sana 4.
Una undugu na JPM?Duh, hizo Pesa ni kuchangia wahanga tu, kwanini hizo Pesa wasizielekeze kwa watu maskini wote maana ni nyingi sana
UchocheziMzee Wenger
The best 'mchumi' katika ulimwengu wa soka.
Ziende direct kwa wahanga (timu /families), siyo kujengea miundo mbinu ya FIFA
KADA