IPECACUANHA
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 3,226
- 1,919
Wahenga walishasema "kufa kufaana"Wanadai yale masuti yamenunuliwa na govt of tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wahenga walishasema "kufa kufaana"Wanadai yale masuti yamenunuliwa na govt of tanzania
Usifungue sledi za kanumba,zipotee tu mana hazitaacha kuongelewa leo au keshohizi habari za Kanumba zimenichosha kweli kha...
Wahenga walishasema "kufa kufaana"
Wanadai yale masuti yamenunuliwa na govt of tanzania
yale mamiwani waliyovaa nasikia madukani Dar yanauzwa laki 2, so you can imagine. nilitegemea haya mambo kutokea, maana msiba mzima ulikwenda kisanii. hakuna ndugu hata mmoja alihusishwa au hata aliyekua kwenye kamati. ndio maana walishupalia msiba uwe Dar maana waliona ikiwa Shy, pesa nyingine zitaenda kule. Aibu sana!!!