Pesanyingi
JF-Expert Member
- Apr 15, 2023
- 1,157
- 1,983
Usiwape hata Mia wajenge na tope la bure.Unakutana na kundi la vijana wamevaa kanzu na kobazi wanakutaka uchangie ujenzi wa nyumba ya ibada huku mkononi kabeba karatasi yenye majina.
NB: Hawana utambulisho wowote