Michango ya Ujenzi wa Uwanja wa Simba umefikia wapi?

Kanali G

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2013
Posts
9,898
Reaction score
14,413
Ni michango iliyoanzishwa kwa bashasha na Mmiliki wa timu hasa baada ya tukio la CEO wa Simba watoto wake kuzuiwa kukaa jukwaa kuu, mwanzoni taarifa za michango zilikuwa zikitolewa na baada ya hapo imekuwa kimya. Tungependa kujua maendeleo ya uchangiaji huu wa Ujenzi wa Uwanja.
 
Wana Simba wenyewe wanajua kinachoendelea
 
Ni michango iliyoanzishwa kwa bashasha na Mmiliki wa timu hasa baada ya tukio la CEO wa Simba watoto wake kuzuiwa kukaa jukwaa kuu, mwanzoni taarifa za michango zilikuwa zikitolewa na baada ya hapo imekuwa kimya. Tungependa kujua maendeleo ya uchangiaji huu wa Ujenzi wa Uwanja.
halitaweza kufanikiwa hili jambo Kwa mihemuko ya kanji
 
Awawezi kusema maana kadri siku zinavyozidi kwenda trend inazid kupungua wanachama pumzi imewaishia Kama mwekezaji ameweka b.2 kati ya b.30 ya uwanja unategemea nini apo
 
Ni michango iliyoanzishwa kwa bashasha na Mmiliki wa timu hasa baada ya tukio la CEO wa Simba watoto wake kuzuiwa kukaa jukwaa kuu, mwanzoni taarifa za michango zilikuwa zikitolewa na baada ya hapo imekuwa kimya. Tungependa kujua maendeleo ya uchangiaji huu wa Ujenzi wa Uwanja.
Maendeleo ni mazuri, hadi sasa tumefikia kibaha
 
Maamuzi ya Simba SC kutaka Kujenga Uwanja wake yalikuwa ni ya Kimihemko ( Kihasira ) zaidi na siyo ya Kiuhalisia.

Saikolojia ya Mashabiki wengi wa Tanzania ( hasa wa Simba na Yanga ) ni Kushangilia na Kubishana ila likija Suala la Michango hakuna utakachokipata zaidi ya Ahadi tu.

Mwisho kilichonishangaza zaidi ni Kitendo cha Mwekezaji Mo Dewji kusema katika Bajeti ya Ujenzi wa Uwanja wa Simba SC ya Tsh Bilioni 30 yeye atachangia Tsh Bilioni 2 tu na hizo Tsh Bilioni 28 zilizobaki akina GENTAMYCINE ambao hata Hela ya Kula tu Kwetu ni Changamoto ( Tatizo ) ndiyo tuchangie.

Kuna Usanii mwingi sana tu Simba SC.
 
Kwa leo Umenifurahisha kwa kutoa mchango uliokwenda shule
 
U

Sure umeongea point sana mjuba
 
Ni michango iliyoanzishwa kwa bashasha na Mmiliki wa timu hasa baada ya tukio la CEO wa Simba watoto wake kuzuiwa kukaa jukwaa kuu, mwanzoni taarifa za michango zilikuwa zikitolewa na baada ya hapo imekuwa kimya. Tungependa kujua maendeleo ya uchangiaji huu wa Ujenzi wa Uwanja.
Simba ni kubwa kuliko Babra na Watoto wake, mambo ya familia yao yasituharibie team yetu.
 
Back
Top Bottom