Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Siku hizi mapenzi ni pesa, jipinde mwanangu Comrade/niameani Mademu wa siku hizi bila pesa huwapati/
leo kuna demu kumwomba game anadai mpaka nimtoe lunch
si nikwamwbia okay baby basi twende kwanza tukale breakfast/
kakubali kishingo upande japo kanipa masharti/
anadai anataka akifika akute supu ya kuku pamoja na chapati/
na me mfukoni nina buku mbili miatano na bati
kumchana ananitukana na kuniita eti me ni fataki/
Ama kweli mademu wakali bila pesa huwanasi
Kila nikipita hapa nataman rap battle,
Ko naihitaj straight sio njia za mkato,
Aje mmoja twende macho kwa macho,
Ziwe true rhymes na sio mipasho pasho,
Mitaa imetulea now tumekua, japo elimu ya mtaani tunayo lakini bado hatujatusuawahuni kila kitu tuli fanya, mitaa ilitufunza chocho zote hadi njia za panya/
maisha siku hizi yame bana, uhuni sio sifa tena tafuteni kazi za maana/
usipo ajiriwa usitukane serikali, kaa chini tumia akili kutafakari/
maisha ni kama safari, na upo ndani ya mtumbwi unakatiza kwenye bahari/
unataka kufika mbali, changamoto ni nyingi inabidi ujihadhari/