Michano/Hiphop/Freestyle

Michano/Hiphop/Freestyle

Miss2020 challenge

Sio siri wengi tulikua na hamu ya kukuona, tulidhani unakarama ya nyoka wa shaba tukikutazama tutapona..../

Ulivyokuja kila mtu alifurahi kukupata, now umeatuachia vidonda umefanya tusijute kukuacha.../

Miss2020 hukuja na shahada ulikuja na kitanzi, tulitegemea utupe mahaba we ukatupa simanzi.../

Unafungama mpaka na wezi kiukweli hauko proper, umekula njama na washenzi kuiba kura uchaguzi wa october.../

Umefanya mengi ya kutisha si utani, ungekua ni mwanachama wa jf ungepigwa ban.../
 
kwenye kufreestyle wananiogopa kama ukoma, wanadai nachana sana mpaka wanapata homa/

mistari yangu ni hatari zaidi ya sonona, nawabana kijemedari hadi wanakoma/

na staki shari me mc mwenye vina/
imeshakua mada kesi coz kila mtaa wameandika langu jina../
na hi verse made in china/
sina stress nachana kama karapina nigga huwezi ni taste kama hujajipima/
 
Nastuka kumekucha natupa shuka navaa bukta najiandaa kwenda kwenye harakati/

Nakimbia kuelekea stend niwahi bus la mwendokasi, nastuka kumbe nipo kifua wazi sijavaa shati/

narudi gheto na simanzi kichwani nimejawa na wasi wasi, najiuliza lini na mimi ntapanda chati/

kitaani wananicheka na kuniita chizi coz sina hata nyumba ya bati, na laani maana sioni hata faida ya uchumi wa kati/

Akili yangu ime freeze ni kama nimeshikwa na jinamizi sina bahati, ila namuomba mungu coz ye ndio mlinzi ananipenda kwa dhati/
 
Miss2020 challenge

Sio siri wengi tulikua na hamu ya kukuona, tulidhani unakarama ya nyoka wa shaba tukikutazama tutapona..../

Ulivyokuja kila mtu alifurahi kukupata, now umeatuachia vidonda umefanya tusijute kukuacha.../

Miss2020 hukuja na shahada ulikuja na kitanzi, tulitegemea utupe mahaba we ukatupa simanzi.../

Unafungama mpaka na wezi kiukweli hauko proper, umekula njama na washenzi kuiba kura uchaguzi wa october.../

Umefanya mengi ya kutisha si utani, ungekua ni mwanachama wa jf ungepigwa ban.../
Miss twenty twenty/ ulinitega tukaenda guest/ ikawa shega ukanivulia sketi/ bega kwa bega una wivu eti/ ila baadae ukalega sisahau upesi/
Ukawa zaidi ya spana/ vyuma vikakaza/
Ukapoteza maana/ kutembea ukanikataza/
Mabadiliko ukabana/ bila sanduku wakajitangaza/
Shauku ni kwa Mtanza/ akose njuluku wao wapate kusaza/
Ashindie buku huku wanamjaza/
Mambo iko huku hawatembelei Glanza/
Umeniziba mdomo/ ukasema nikifumbua nitakufa/
Si 'hasa' imefika kikomo/ matamko ya US ni Sabufa/
Siwezi mudu hata motokaa/ umeota mapembe/
Miss 2020 umefanya hii awamu siyo ya kula raha/ aah bora uende/
 
Ni miss twenty twenty aliyepeta kwa corona
Kaacha vidonda vikubwa vingine ngumu kupona
Tz na uchumi wakata na wana namba tunaisoma
Elim bure sawa ila ajira mbona nomaaaa?
2020 ulikuja wakipekee moaka nikakuhusudu
Ila umenichezesha gere ninakufukuza na virungu
Niko proud bila kwere na ikibidi na vurugu
.................
 
Najua wewe ni mafia/ ila kukwambia ukweli siwezi sita/
Watu wengi wamejifia/ kisa mwana umekunja ndita/
Ulianza kuiba simu za Nokia/ leo hii Bank unasepa na vitita/
Kwenye tukio Polisi walikimbia/ walipogundua una silaha za kivita/
Zilikohoa AK 47/ ukaenda kupoa kama upo Heaven/ life ukatia doa kwa complain/ mademu unazoa sababu ya mapeni/
Unapiga dili nyingi/ usiku kwenye mijengo/
Unaua sababu ya shilingi/ hujui unaacha pengo/
Ipo siku utaingia kingi/ maana unasakwa na Kitengo/
Wanted miaka mingi/ unajificha ficha Mwayego/
Siamini maneno yangu utayatii/ maana vema nakufahamu/
Siku zote Kenge hasikii/ mpaka masikio yatoke damu/

******************************************
Ma Mc's mnaweza kuni quite ili kuendeleza hii stori kadri unavyojua na mwingine nae ataendeleza chini ya utakapoishia.
Hii itasaidia kuongeza uwezo wako binafsi na kuleta hamasa pia, hata kwa wale ambao hawajaiva wasiogope hii ni njia ya kujifunza.
 
Kwako wizi naskia ni kama hobi, una pora magari ya watu kama jombi.../

Umekula dili mpaka na mamwela, hata ufumwe unaiba hupelekwi jela.../

Unamiliki silaha kiholela, unadiriki mpaka kutoa uhai wa mtu kisa hela.../

Usiku wa juzi umevunja duka, ukaja bar ukampiga waiter na chupa.../

Ukaja geto ukasepa na ile sabufa, Sina cha kufanya nakuombea saa ya kufa.../

Hukuwa na masihara hata kwa warembo wa dijitari, maana baada ya kuwabaka uliwamwagia tindikali.../

Hata shetani hawezi fanya ule ushenzi, ulipowateka ndugu wa damu uliwalazimisha wafanye mapenzi.../

Umefanya maovu mengi mpaka naogopa, mpaka naona adhabu ya kifo pekee haitakutosha.../
 
Umepitia karate, Wushu, Kombat na Taikwondo/

Wababe unawapiga wallet, mpaka mjeshi ulitembeza kipondo/

Ulipomtongoza Betty, tulijua huna mapenzi ni uongo/

Ona umemsafisha mkwanja bank, kumbe ulinusa tu mchongo/

Mwema matendo yako, ila gizani huwezi kuamini/

Nilipokukuta na bunduki iliyokatwa kitako, ulisema nikae chini upo kazini/

Kunicheki ni mwana, ukasema dah! Umebug sio mimi/

Kitambo umebana, ukimsubiria mtu wa madini/

Hakuna anae kupenda, maana unayotenda siyo haki/

Juzi ulichukuliwa na diffender, leo nakukuta kwenye bata Masaki/

Nasikia umepigwa chale Pemba, ili usiwekwe na Raia kati/

Mtu wa pamba kama Papaa Wemba, kila muda upo smart/

Hata demu akikupenda, ujue hana bahati/

Kama hutamtenda, basi utamuingiza kwenye hizo harakati/
 
kwako huna dogo wala kubwa, kila muda shari
Na ni mpenzi wa msuba, na vinywaji vikali
Ulikutwa na unga kwa mkoba, huko mashariki ya mbali
Ila ulivyowakacha mjuba, wahuni wansema kama zali
kwa sasa nasikia ni namba moja kwa wanted list, kama pretty face na dillinger
Ila ndo kwanza unafanya feast, na kuwachenga kama winga
Master wa plotting na twist, ni vile unavimba
itafika yako siku hata tu hata ujifanye simba
 
Mama yako alikata roho, kwa presha na taharuki/

Aliposikia umefanya soo, kituo cha polisi na ukapora bunduki/

Baba yako ulimkaba koo, alipokukanya ulipata chuki/

Ndugu zako unawaona choo, unasema ni mamluki/

Nilipokwambia atakuzika nani, ulijibu maiti haitupwi/

Nilipokuuliza hela yako inamfaa nani, ulisema inaishia kwenye chupi/

Hufanyi ya maana yaani, unasema maisha mafupi/

Na nilipokusihi urudi ibadani, ukasema umfurahishe yupi/

Usoni unatabasamu, moyoni unyama umesheheni/

Unatamani ujiunge na Boko Haram, ni vile tu huna connection/
 
matukio kama yote wewe ndio muhisiwa
Ya kigogo kutekwa nusu kuuliwa/
Bank robbery kisha kukimbia/
Human trafficking na madawa kuaddiwa/
Kama si kuroga basi umechanjia
Maana unafahamika ila unasaziwa

Ona sasa huna rafiki wa kweli mpaka sasa/
Wengi wankugwaya ko wanakukacha/
Utabaki peke yako usipo badilika sasa/
............................
 
njiani akitembea anakata makalio, nikampotezea nikajikita kusaka salio.../

kwa ule mkuki nilochomwa na yule mfilisti, nilijenga chuki wanawake wote nikawaona wasaliti.../

Kwenye kiti cha moyo wangu mwanamke hakua na siti, ila siku zilivyosonga nilijikuta nimekua peace.../

Maumizi yakuachwa yalikoma, nikafungua ukarasa mpya wa mapenzi nakuanza kusoma.../

Iliikua ni furaha iliyopotea muda umbali mrefu, kumpata mwanamke mwenye akili pevu.../
To be honest idea ya hii verse imekuja vile vile kama ya dizasta hatia iv
 
matukio kama yote wewe ndio muhisiwa
Ya kigogo kutekwa nusu kuuliwa/
Bank robbery kisha kukimbia/
Human trafficking na madawa kuaddiwa/
Kama si kuroga basi umechanjia
Maana unafahamika ila unasaziwa

Ona sasa huna rafiki wa kweli mpaka sasa/
Wengi wankugwaya ko wanakukacha/
Utabaki peke yako usipo badilika sasa/
............................
"Conversation ya jambazi mbele ya mateka"

Mikono juu simama hapo ulipo, mko chini ya ulinzi mwana niko windo.../

mimi kuua ni rahisi kama kutumbua pimple, so nahitaji ushirikiano wenu zoezi liwezekua simple.../

Kila mtu aweke mkwanja mezani, usipofanya hivyo utakua umeweka roho yako rehani.../

Kimya kimya vua cheni na vidani vya thamani, kupiga kelele kutayaweka maisha yako matatani.../

Binti usiweke pozi la mtego siwezikunasa, nikiwa kazini hata ukae uchi siwezi kukupapasa.../

Nishapiga puli na ndio maana sina mzuka, bana mapaja tanua waleti acha ufuska.../
 
Nina bunduki kwenye koti, na panga la kuwamaliza/

Mkiwashtua Polisi Kijoti, mjue nitawaangamiza/

Nimesikia mmoja wenu kapiga noti, kama Bilionea Laiza/

So huu ni muda wa kunipa sapoti, niache kubangaiza/

Nishavuka vigingi, walivyodhani ni imara/

Jela nishakaa miaka mingi, hivyo siogopi kifala/

Mitaa imepigwa machata, jina langu linavuma/

Wezi wananiita Master, nawapa ramani wanapobuma/

Anga zangu ukinifuata, jua kwamba sina huruma/

Kama luku nakata, shingo hata ingekuwa ya chuma/
 
Sauti laini kwenye simu, mpaka chuma inashtuka/
'Mimi ndiye uliyenipa namba Jamii Forum, sijui unanikumbuka'/
Ooh kumbe ni yule demu, ambae Pm kwangu aliibuka/
Akaomba nikamliwaze sehemu, ana stress kwa mzee kimenuka/
Nikaona sawa, ngoja nikapate dawa kidume ninyooshe goti/
Alipotokea nikapagawa, nikawaza kumnawa hata kwa noti/
Bonge la msambwanda, na sura ya Kinyarwanda/
Mizuka ikanipanda, kidume nikasanda/
Ghafla wakatokea wenye suti msururu/
Wakanipiga buti nikae chini sipo huru/
Wakasema nimenasa mtego, sitaiona tena nuru/
Na kosa kuna Post mwayego, nilimtukana Mkulu/
 
Weita leta vikali, nitulie niache nishai/
Maana ndonga imejaa mistari, zaidi ya shuka ya Kimasai/
Ndio maana sina habari, watoto wanapojidai/
Wananipandisha morali, nipo ni vipi wanajimwambafai!?/
Hii ndonga/ ninapobonga/ kwao ni skonga/ acha wasome/
Game kwangu kitonga/ nasonga/ wanachonga/ na washafika ngome/
Ona macho pima, nilipo hawawezi timba/
Nacheza na vina, ka' Masai na Simba/
 
Wamefunga mdomo, ka' wamevaa barakoa/
Siku hizi Mc's hawaleti tena vurugu/
Wamefika kikomo, walihofia nitawabomoa/
Kama Desderia Hoteli ya Sugu/
Mvumbo sina promo, na bado natoboa/
Kama na Pesa nina undugu/
Snitch wanainua mikono, mistari nakohoa/
Yenye vina kama njugu/
Wanataka ufalme wangu, hapo ndipo wanapofeli/
Himayani nipo peke yangu, kama taa ya baiskeli/
 
Oya unafunga mwaka ukiwa wapi?

Scars segerea mwana ndio napotoka, njoo viwanja vya buguruni nipo kimboka.../

Usije na stimu za pombe zipo soda, njoo na mkongo makahaba wakupe uroda.../

Usipite njia za chocho vibaka watakupiga roba, njoo kundi kama peke yako ni muoga.../

Kila pande mademu wamevaa mini, njoo na ndom kabisa kama huwaamini.../

Mziki mkubwa kila demu anakatika, waiter leta nyama choma na vimiminika.../
 
Ninapotimba kama Bundi, Mc's wanaona uchuro/
Sasa leo naonyesha ufundi, Poti nalivunja Danguro/
Hii ninayotupa ni nzito, lazima watakaa/
Vipi wanaleta Bito, kwenye Race ya Sports Car/
Hawa bado ni ndito, naumia kuonea dagaa/
Ila ndiyo hivyo, raha ya pombe ni kuinywea Bar/
Wanasema sitawashika, mashabiki wa Barnaba/
Ngumu natapika, kama nimemeza shaba/
Wanaojitoa ufahamu, na kufuata soko/
Waambie Mvumbo ni HARAM, kama BOKO/
 
Back
Top Bottom