Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Miss2020 challenge
Sio siri wengi tulikua na hamu ya kukuona, tulidhani unakarama ya nyoka wa shaba tukikutazama tutapona..../
Ulivyokuja kila mtu alifurahi kukupata, now umeatuachia vidonda umefanya tusijute kukuacha.../
Miss2020 hukuja na shahada ulikuja na kitanzi, tulitegemea utupe mahaba we ukatupa simanzi.../
Unafungama mpaka na wezi kiukweli hauko proper, umekula njama na washenzi kuiba kura uchaguzi wa october.../
Umefanya mengi ya kutisha si utani, ungekua ni mwanachama wa jf ungepigwa ban.../