Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
NINATOKA mimi, huwezi zama bila izini/
Ajira ni hasira kwa watu wachini, nchi haina dira haipandi juu bali inashuka chini
Mademu wanauza chini, vyeti vimewekwa kabatini/
Rais anawaza uchaguzi, wakati hospitali zimeishiwa wauguzi/
Serikari imegeuka pisikali, kila kona inapigiwa miruzi/
Natokea kitongoji cha panya rod, hakuna dini/mdudu analiwa mpaka maini na huwezi ukahoji/