Serikali imebunu mbwinu
Maparachacha badala ya maparachichijamaa yangu fulani alisema sapati badala ya chapati mwingine alisema mti wa mbibo badala ya mkorosho mwingine alisema kila mbwa kona hawa badala ya kila kona mbwa hawa mwingine alichapia umbombo alisema all we badala ya we all mwingine alisema raisi madufuli badala ya raisi magufuli mwingine alisema vua vaatu hivyo mpagane badala ya vua viatu hivyo mpigane hakika kuchapia noma..nawe weka zako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nachambua mtango.... Badala ya natambua mchango....