michapio iliyonivunja mbavu nawe weka yako tucheke

michapio iliyonivunja mbavu nawe weka yako tucheke

Hiyo mbavu iliyovunjika iko wapi?
jamaa yangu fulani alisema sapati badala ya chapati mwingine alisema mti wa mbibo badala ya mkorosho mwingine alisema kila mbwa kona hawa badala ya kila kona mbwa hawa mwingine alichapia umbombo alisema all we badala ya we all mwingine alisema raisi madufuli badala ya raisi magufuli mwingine alisema vua vaatu hivyo mpagane badala ya vua viatu hivyo mpigane hakika kuchapia noma..nawe weka zako
 
Wifi yangu kutoka Mkuu alinitmbelea Tanga, ilikua mwezi wa Ramadhani. Alikua ananiambia Muda wa kula futuru
 
Cocal tost badala ya Total cost..
Utumi chuu badala ya Uchumi two..
 
Back
Top Bottom