Michapio Takatifu......

Thani10

Member
Joined
May 11, 2018
Posts
20
Reaction score
13
Moja kati ya michapio ambayo nimewahi kuisikia kutoka sehemu Mbalimbali huu ni Kiboko yao....
...Kuna jamaa angu mmoja alikuwa na njaa sana asa ikabidi tuende kununua Kibanda cha chipsi,Me nikaagiza asaa yeye kutokana na haraka zake akatoa bonge la Mchapio etiih NIFUNGIE CHIPSI KAKI NA MISHKAVU NA PANTA FASHION BARIDI....

Taja mchapio ulowah kuusikia tuburudike sote...
 
Nani kakukupa Punga [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nikiwa Darasa la Pili shule moja hivi nimeingia na Chungwa Darasani hilo ndilo lilikuwa swali "Nani kakupa Chungwa".
 
**** mtu akija hapo mwambie sipo..
Kuna mtu akija hapo mwambie sipo
 
Kwa nini hamja bweni madeki???.....
kwa nini hamjadeki mabweni???,Tulicheka sana ilikuwa ni sauti ya ukali ya mwalimu wa zamu wakati wa parade,Assembly iligeuka uwanja wa komedy Ukizingatia alisema kwa ukali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…