INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

Miche yake inapatikana? Na inastawi kwenye ukanda gani? na muda gani mpaka uanze kuvuna
Ndio mkuu,miche ya tende tunayo na bei ni sh 3000.
Tende zinastawi zaidi maeneo yafuatayo 1.ukanda wa Joto
2.Mikoa ya ukanda wa bahari ya Hindi
3.Tende inastawi kwenye ardhi yenye rutuba na isiyosimamisha maji
Pia mikoa kama Dodoma,Singida tende zimeleta matokeo mazuri.
Karibu sana
 
Miche yake inapatikana? Na inastawi kwenye ukanda gani? na muda gani mpaka uanze kuvuna
Tende huanza kubeba matunda baada ya miaka 4-5.Lakini matunda huwa tayari kuvunwa baada ya miaka 7-8
 
 

Attachments

  • IMG-20200901-WA0006.jpg
    7.4 KB · Views: 16
Mvua zimerudi tena,ni wakati mzuri wa kupanda miche ya matunda ya muda mfupi.Karibuni sana
 
Safi mkuu, nitakutafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…