INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

Mbegu za michingoma zinapatikana.
Mbegu za Teak zinapatikana
 
Strawberry inastawi maeneo yenye miinuko,Hali ya hewa ya baridi lakini pia eneo liwe na rutuba ya kutosha.
Huduma ya maji ya uhakika

Unaweza kupanda kwa njia ya matuta au green house.

Strawberry huanza kuzaa baada ya miezi 3.
 
Miche ya zabibi hivi karibuni itakuwa inapatikana kwetu
 
Kwa eneo lenye mchanga mwingi unaweza panda miti gan? Hasa ya matunda. Maama tuliweka parachichi zikagoma
 
Kwa eneo lenye mchanga mwingi unaweza panda miti gan? Hasa ya matunda. Maama tuliweka parachichi zikagoma
Unaweza kupanda
Papai
Embe
Nanasi(ingawa hatuna miche/mbegu yake kwasasa)
Citrus
Minazi

Ila ujitahidi kumwagilia mara Kwa mara na kuongeza mbolea kama eneo halina rutuba
 
Mvua zimeanza kunyesha baadhi ya mikoa,ni wakati sahihi wa kupanda miche ya matunda,kivuli na mbao.
 
IMG-20250311-WA0000.jpg

Miche yenye ubora
 
Miche ya nazi bei gani, nataka ya kienyeji maana wazoefu wanasema ya kisasa inazaa uzao mara tatu tu.
 
Miche ya nazi bei gani, nataka ya kienyeji maana wazoefu wanasema ya kisasa inazaa uzao mara tatu tu.
Miche ya kienyeji ipo boss ni sh 7000
Ni kweli minazi ya kisasa inazaa mara 3 mpaka mara 4.

Lakini pia madafu ni mengi kuliko nazi

Pia life span ni ndogo
 
Back
Top Bottom