INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

Pole boss.Makosa bila shaka yalianza kwenye namna ya kuupanda huo mche boss.Miche iliyofanyiwa budding upandaji wake ni tofauti na miche ya kienyeji.

Lakini pia,utunzaji kuanzia mche unapoanza kuupanda mpaka unapokuwa stable
Hakuna utofauti wowote ule kwenye kupanda kiufupi hata wewe haujui chanzo cha hiyo hali ya mwembe kupukutisha maua ila ni kwamba unabashiri tu
 
Pole boss.Makosa bila shaka yalianza kwenye namna ya kuupanda huo mche boss.Miche iliyofanyiwa budding upandaji wake ni tofauti na miche ya kienyeji.

Lakini pia,utunzaji kuanzia mche unapoanza kuupanda mpaka unapokuwa stable
So nifanyaje utoe matunda?
 
Hii ni Kwa wale ambao niliowahudumia siku za nyuma au wale ambao wanatarajia kupata huduma kutoka kwangu.
Endapo utakuwa tayari basi tutawasiliana kupitia namba
0719527062(WhatsApp)
0757056472

IMG_20241218_091130.jpg
 
Misimu huu ambapo mvua ina nyesha kwa wingi kwa baadhi ya maeneo,kuna uwezekani mkubwa wa miche kupata "Ukungu"

Weka utaratibu wa kukagua miche yako mara Kwa mara na endapo utagundua changamoto hivyo,tumia sawa kuikabili.
 
Merry Christmas 🎄 🎁 dears.
Huduma bado inapatikana na kuna Christmas offers nyingi.

Karibuni
 
Happy New year my bosses.
Ninapenda kuwashukuru wote mliopata huduma kutoka kwangu Kwa kipindi chote cha mwaka 2024.
Kwa hakika mmekuwa baraka Sana kwangu.

Kama kuna ambae kwa namna moja au nyingine alikwazika au hakupata alichotarajia ninaomba msamaha na Nina ahidi kuwa bora zaidi mwaka 2025.

Hivi karibuni nitawaletea list mpya ya miche ambayo hatukuwahi kuwa nayo kabla.

I love you all,my customers my pride
 
Tuna miche ya machungwa yasiyo na mbegu pamoja na malimao yasiyo na mbegu.Bei ya kila mche ni sh 10000

Kuanzia mwishoni mwa mwezi huu miche ya Almond na zaituni(inayotumika kutengeneza mafuta) itakuwa tayari kuuzwa.

Tuna miche ya Peach ,sh 10000
 
Miche ya Spices inayopatikana kwenye vitalu vyetu ni
Karafuu
Iliki
Mdalasani
Tangawizi
Mchaichai
Rosemary
Mint
German tea
 
Miche ya peasi ipo,sh 9000
Miche ya apple(ana apple)sh 10000
 
Miche yote inayopatikana kwenye kundi la Citrus bei yake ni sh 2000 Kwa mche mmoja.
Isipokuwa chungwa na limao zisizo na mbegu,bei ya mche sh 10000
 
Miche ya mkonge/Katani inapatikana
Bei ni sh 1500 Kwa miche 100 na kuendelea
Sh 2000 Kwa miche chini ya 100
 
Back
Top Bottom