INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

huduma ya vijana kuja shambani kwako kukupandia miche inapatikana.

Karibuni
 
Wapendwa kuna mteja alinipigia simu week iliyopita na aliomba nimtafutie mahali au mtu anaeuza kokoa kwa wingi.
Siku-save namba yako boss nataka kukupa mrejesho lakini namba yako nimeipoteza.

Kama utasoma ujumbe huu tafadhali naomba nitafute.

Kwa maelezo ya mteja aliniambia namba yangu aliipata hapa Jf.
 
Kuna wale waliahidi kunitafuta mvua itakapo anza kunyesha,simu ziite sasa
 
discount ipo,bonus za kutosha Kwa ajili yenu wateja wangu wapendwa
 
Bila kusahau kuanzia mwezi Jan 2025 tutaanza kuuza miche ya Almond pamoja na Zaituni(inayotumika kutengeneza mafuta)
 
Habari,Natumaini mko salama na poleni na majukumu ya kila siku.Karibu ujipatie miche ya kisasa ya matunda.

Tunapatikana Chuo kikuu cha kilimo (SUA) lakini tunatuma na mikoani kwa uaminifu mkubwa.

Pia ipo huduma ya kufanyiwa layout na kupandiwa miche yako shambani kwako,team ya wataalamu inafika mkoa uliopo.Kwa maswali na maelezo zaidi 0719527062/0757056472.Karibu tukuhudumie.

View attachment 1557232

View attachment 1557234

View attachment 1557237

View attachment 1557239

View attachment 1557240

View attachment 1557242

View attachment 1557243

View attachment 1557244

View attachment 1557246

View attachment 1557247

View attachment 1557248

View attachment 1557249

View attachment 1557250

View attachment 1557251
Unaposema ya Kisasa ni GMO au unamaanisha nini kwenye usasa?
 
Unaposema ya Kisasa ni GMO au unamaanisha nini kwenye usasa?
Screenshot_2024-12-02-20-58-59-019_com.android.chrome.jpg
 
Bila kusahau kuanzia mwezi Jan 2025 tutaanza kuuza miche ya Almond pamoja na Zaituni(inayotumika kutengeneza mafuta)
miche ya ndimu napata..vipi inachukua muda gani kuvuna ndimu nikipanda mche leo

nampango kuzungusha boma langu mindimu kadhaa
 
Thanks...Mimi nilipanda muembe wa budding ,una miaka 7 mpaka sasa lakini hauna matunda sijui tatizo ni nini ,unatoa maua then yanadondoka y
Pole boss.Makosa bila shaka yalianza kwenye namna ya kuupanda huo mche boss.Miche iliyofanyiwa budding upandaji wake ni tofauti na miche ya kienyeji.

Lakini pia,utunzaji kuanzia mche unapoanza kuupanda mpaka unapokuwa stable
 
Nataka miche ya maembe naipataje
Karibu boss, inapatikana,bei ya miche ni sh 2000
Tuna miembe aina 7
Kent
Tommy
Red Indian
Bolibo
Embe Tanga
Alphonso
Dodo
 
Thanks...Mimi nilipanda muembe wa budding ,una miaka 7 mpaka sasa lakini hauna matunda sijui tatizo ni nini ,unatoa maua then yanadondoka yote.
1.Kivuli
2.Kiwango cha maji
Endapo mmea utapata kiwango kidogo cha maji,mmea utapukutisha majani ili kuhifadhi au kutunza maji

Kama mmea utapata kiwango kikubwa cha maji,ardhi itapata kiwango kidogo cha hewa na hii inapelekea mche kupata stress

3.Upungufu wa Potassium Kwa ajili ya Maua.
 
miche ya ndimu napata..vipi inachukua muda gani kuvuna ndimu nikipanda mche leo

nampango kuzungusha boma langu mindimu kadhaa
Miche ipo boss
Tuna ndimu Aina mbili
1.Ndimu zenye mbegu
2.Ndimu zisizo na mbegu
Bei ni 2000

Utaanza kuvuna baada ya mwaka mmoja na nusu
 
Back
Top Bottom