INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

Kwa wale wateja ambao walitamani kuniona au wanatamani kuniona (face to face) kwenye vitalu vyetu pindi wanapokuja kupata huduma na kwa namna moja au nyingine hatukuwahi kuonana,msijali next time mtanionašŸ¤—.

Na muwe comfortable kuhudumiwa na yoyote mtakae mkuta Kwa wakati huo.
 
Surely I appreciate you all and I love you mpaka sijielewi ā¤ļø
 
discount ipo Kwa mteja atakae nunua miche ya aina moja zaidi ya 50.Lakini pia unapata bonus ambayo hii huwa ni suprise 😊
 
Mvua zimeanza kunyesha Kwa baadha ya maeneo,huu ndio msimu wa kufanya manunuzi ya miche
 
FB_IMG_1727465984081.jpg
dragonā™„ļø
 
Kwa wateja walionunua miche kwangu,endapo kuna changamoto yoyote unapata katika kuitunza miche,usisite kunitafuta,ambatanisha na picha ya mche/miche iliyo na changamoto kisha tuwasiliana.

Hii ni kwa wale tu walionunua miche kwangu.
 
Mna apple? Na kama lipo
Linasurvive Dar,?
Apple inafanya vizuri kwenye mikoa au maeneo yenye baridi,au yenye Asili ya miinuko.

Hivyo,ukipanda apple Dar itastawi lakini kutoa Maua kisha matunda ni changamoto sababu ya hali ya hewa.

Mikoa au maeneo ambayo apple hustawi vizuri ni Njombe,Arusha,Kagera,Tanga(Lushoto),Morogoro(baadhi ya maeneo).
 
Thanks dear
Tumemaliza whatsap
 
Ukinunua miche kuanzia 20 unapata bonus ya mche 1.Na ukinunua miche kuanzia 60 na kuendelea ,unapata discount,lakini hii pia inategemea na Aina pamoja na bei ya miche husika.

Kuna aina ya miche ambayo ukinunua kuanzia 15 na kuendelea unapata discount .

What a service ā˜ŗļø
 
Back
Top Bottom