Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
boss strawberry hustawi vizuri kwenye mikoa ambayo ina joto la wastani,kama Morogoro,Arusha, Kilimanjaro,Mbeya n.kMkuu strawberry Kwa Hali ya hewa ya dsm inastawi vizuri?
Je, kitalu bado kipo?
hicho kitabu sina boss wangu.Mi nahitaji kitabu cha passion fruits za njano, na hasa kiwe na maelezo tosha sana kuhusu chamgamoto za passion mf. Prunning, maua kuanza halafu hayaendelei kutoa matunda yanaanguka, spacing ya mche hadi mche, na viwatilifu gani vinahusuka kils hatua.
Kama kipo tuyajenge mtalaam.
Starfruit ni niniHabari,Natumaini mko salama na poleni na majukumu ya kila siku.Karibu ujipatie miche ya kisasa ya matunda.
Tunapatikana Chuo kikuu cha kilimo (SUA) lakini tunatuma na mikoani kwa uaminifu mkubwa.
Pia ipo huduma ya kufanyiwa layout na kupandiwa miche yako shambani kwako,team ya wataalamu inafika mkoa uliopo.Kwa maswali na maelezo zaidi 0719527062/0757056472.Karibu tukuhudumie.
View attachment 1557232
View attachment 1557234
View attachment 1557237
View attachment 1557239
View attachment 1557240
View attachment 1557242
View attachment 1557243
View attachment 1557244
View attachment 1557246
View attachment 1557247
View attachment 1557248
View attachment 1557249
View attachment 1557250
View attachment 1557251
Ahsante sana hata kwa kuipa uzito changamoto yangu na kuifanyia kazi. Uko makini sana na kazi yako Mkuu. Kwa kweli nimefurahi ku connect na mtu kama wewe.hicho kitabu sina boss wangu.
Ila hizo taarifa na nyinginezo kuhusu kilimo cha passion unaweza kuzipata Google.
Lakini pia Kwa sehemu na Mimi naweza ku-share na wewe yale machache ninayofahamu kuhusu kilimo hicho.
Karibu
Ni tunda ambalo Kwa Kiswahili kisicho rasmi linaitwa "Mbilimbi za kizungu"Starfruit ni nini
Asante, picha yake tafadhaliNi tunda ambalo Kwa Kiswahili kisicho rasmi linaitwa "Mbilimbi za kizungu"
Likiwa bichi lina rangi ya kijana likiiva lina rangi ya njano.
Huwa na harufu nzuri na sukari pia.
Unaweza Kula hivyo hivyo au hutumika kutengenezea juice
Asante boss Kwa kuni-appreciate, comments kama hizi zinanipa nguvu zaidi.Ahsante sana hata kwa kuipa uzito changamoto yangu na kuifanyia kazi. Uko makini sana na kazi yako Mkuu. Kwa kweli nimefurahi ku connect na mtu kama wewe.
Huko google na youtube utakuta wafilipino na wengine wana mazingira tofauti sana ya kilimo. Wakenya ni sawa ila kujieleza, sababu utakuta wengi wanajikita kwenye mbolea, viwatilifu bajeti ya mradi faida n.k.
Changamoto kubwa ya passion ni hapo maua kuanguka ku (abort). Mengine ni kama matunda mengine.
Carambola..?Ni tunda ambalo Kwa Kiswahili kisicho rasmi linaitwa "Mbilimbi za kizungu"
Likiwa bichi lina rangi ya kijana likiiva lina rangi ya njano.
Huwa na harufu nzuri na sukari pia.
Unaweza Kula hivyo hivyo au hutumika kutengenezea juice
OkSawa.
Unaweza kuangalia page namba 61 kwenye Uzi huu huu utaiona picha.
Nimeipost mara kadhaa picha yake kupitia Uzi huu
star fruit huwa naskia ni tamu sanaa, sema sjawah yaona apa daslam, huwa linachkua muda gan mpk kula matunda?Ni tunda ambalo Kwa Kiswahili kisicho rasmi linaitwa "Mbilimbi za kizungu"
Likiwa bichi lina rangi ya kijana likiiva lina rangi ya njano.
Huwa na harufu nzuri na sukari pia.
Unaweza Kula hivyo hivyo au hutumika kutengenezea juice
kumbe tende zinazaa hivi sasa mkuu mbona zipo wazi sana zikiwa hivi mtini hazichafuki au kuchezewa na wadudu na ndege? vp Dar zinastawi hizi tende na zinachukua mda gani tangu kupanda mti hadi kivuna tende?
OK sasa vp kwa ile miche inayowekewa chupa za maji za plastikindio boss,miche yote iliyofanyiwa grafting lazima utoe nylon,usipofanya hivyo mche wa kigeni utakosa mahitaji yake muhimu,lakini pia usipotoa nylon itazama ndani ya shina kadri mche unavyozidi kukua na kuongezeka ,hivyo utaadhiri mche/mti