Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile minazi ya mbegu fupi mshaipandikiza? Kuna wakati ulisema imeisha. Na embe dodo mbegu fupi kama zipo nijulishe.Most welcome dears
Tate Mkuu Minazi mifupi tumeacha kuzalisha kwasasa, changamoto ni upatikanaji WA mbegu zake.Ile minazi ya mbegu fupi mshaipandikiza? Kuna wakati ulisema imeisha. Na embe dodo mbegu fupi kama zipo nijulishe.
Pia unifafanulie kama hizo parachichi za Burundi zinaweza kukua maeneo yenye hali ya hewa ya joto.
Hiyo minazi ya muda mfupi, ndiyo ile mbegu fupi ninayoitaka?Minazi ya muda mfupi Sasa inapatikana.bei ni sh 10000
Karibuni