Lily Tony
JF-Expert Member
- Feb 6, 2019
- 3,198
- 4,191
- Thread starter
- #1,321
Karibu tuwasiliane kupitia namba hizi ili kupata maelekezo zaidiNahitaji miche 50 ya migomba, kimalindi ndefu, nipo marangu, moshi. Kama una miche mingine ya migomba inayozaa mikungu mikubwa na mirefu, nijulishe pia.
Nitumie gharama ya kununua na kusafirisha hadi njia panda ya himo
0719527062
0757056472