INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

Sidhani kana chemchem ipo ila udongo upo wet muda wote pia ukichimba kisima umbali wa kawaida tu maji yanakua mengi 24/7
eneo hilo sio rafiki Kwa kupanda michungwa mkuu,
Hapo unaweza kupanda Migomba kama unapenda.
Hilo eneo water table iko karibu
 
Sidhani kana chemchem ipo ila udongo upo wet muda wote pia ukichimba kisima umbali wa kawaida tu maji yanakua mengi 24/7
Ingawa Dar -es-salaam miche jamii ya Citrus (chungwa,limao,ndimu,balungi n.k)inafanya vizuri,Ila sio Kwa eneo ambalo lina asili ya unyevunyevu kama hilo.
 
FB_IMG_1722244114997.jpg
 
Sidhani kana chemchem ipo ila udongo upo wet muda wote pia ukichimba kisima umbali wa kawaida tu maji yanakua mengi 24/7
Mjukuu wangu, unatakiwa utoke mara moja hapo unapoishi! Mafuriko yatakuja yakusombe aisee. Wewe ni wa kuishi Masaki, Mbweni, Msasani, Oysterbay, Mbezi beach, nk. Na siyo kwenye hayo maeneo ya bondeni.
 
Babu mvua huwa zinanyesha lakini mafuriko hamna
Kwanini nikaishi Masaki wakati uwezo wangu ni Vingunguti🤔
 
Back
Top Bottom