INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

Hivi hii vanilla inakubali mazingira ghani. Kwa sasa nipo mwanza, itakubali kweli?
Na mikorosho inaweza ikakubali mwanza?
Sorry kwa usumbufu
Hunisumbui boss zaidi sana ninafurahi ninapokutana na maswali.
Vanilla zinastawi zaidi kwenye mikoa/eneo lenye joto ridi 28-30

Lakini pia mvua za wastani.

Vanilla huhitaji udongo wa tifutifu na wenye rutuba ya kutosha.
 
Hivi hii vanilla inakubali mazingira ghani. Kwa sasa nipo mwanza, itakubali kweli?
Na mikorosho inaweza ikakubali mwanza?
Sorry kwa usumbufu
Korosho zinahitaji udongo wa kichanga,na mvua za wastani.
Mikoa ambayo Korosho zinaleta matokeo mazuri ni Dodoma,Singida(Manyoni),Morogoro,Tanga,Ruvuma,Iringa kwa baadhi ya maeneo,Bagamoyo,Mtwara,Lindi.
 
Hivi hii vanilla inakubali mazingira ghani. Kwa sasa nipo mwanza, itakubali kweli?
Na mikorosho inaweza ikakubali mwanza?
Sorry kwa usumbufu
Mwanza,Vanilla itakuletea matokeo mazuri.
Lakini Korosho hazitaleta matokeo makubwa hasa kama una lengo la kulima kibiashara
 

Vanila,mmea ambao uchavushaji wake hufanywa na binadamu na sio wadudu😊
Mbegu za vanila sh 3000
Vanilla iliyooteshwa kwenye kiriba sh 5000
 
Asanteni sana kwa support yenu Karibuni na wengine.
Miche yetu ina ubora wa kipekee kama unavyoonekana👍 na derivery inafanyika kwa uaminifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…