INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

Hizo mbegu za matunda hayo ni za kisasa au kienyeji??,pili stafeli zinaweza kukubali kwa Dodoma???
Asilimia kubwa ya miche yetu ni ya kisasa(ya muda mfupi) ipo miche michache sana ambayo ni ya kienyeji kama Tende,ukwaju,zaituni
 
Mkuu hii kitu inaweza kukubali Dodoma???
ndio boss,Mti wa stafeli una sifa ya kustahimili ukame.
Hata eneo likiwa linapata mvua za chini ya milimita 750 kwa mwaka bado mche una vumilia
Hakikisha tu eneo lako lina rutuba ya kutosha na udongo uwe wa kichanga au tifutifu
 

Asanteni kwa kuendelea kuniamini.Karibu tena na tena
 
Miche ipo wakuu na mvua zimeanza kwa baadhi ya mikoa.Karibubi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…