INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

Hii maeneo ya njombe,makete,iringa inakubali?
Vanil inastawi kwenye maeneo yenye
.nyuzi joto 21-30
.mvua za wastani
.udongo wa tifutifu
.Pia inahitaji kivuli,eneo liwe na kivuli kwa asilimia 50-70.

Vanila inastawi zaidi katika mikoa ya Kagera,Morogoro,Kilimanjaro,Tanga,Iringa na Mufindi kwa baadhi ya maeneo.

Kadri miaka inavyokwenda ndivyo ambavyo mikoa mingine inafanya majaribio ili kuona kama Kilimo cha Vanila kinaweza kuleta matokeo mazuri.
 
IMG-20200901-WA0012.jpg
 
Boss hivi vanilla pande za Tabora zinastawi?
Boss Labda ufanya kama majaribio.Vanilla ni zao lililoingia Tz mwaka 1992 kutokea Uganda na mkoa wa kwanza kuanza kulima vanilla ni Kagera.Kuanzia hapo mikoa mingine imeendelea ku introduce Vanilla kama zao la kibiasharana imeleta matokea mazuri.
Mikoa mingine ambayo vanilla imelimwa na kuleta matokeo mazuri ni Morogoro ,Tanga,Mbeya,Arusha,Mwanza,Iringa
 
Shukran sana boss
Zao hili ni ghali sana nje niko interested zaidi kwani nimeuza sana
Nitajaribu kupanda kama itakubali
Asante
 
Shukran sana boss
Zao hili ni ghali sana nje niko interested zaidi kwani nimeuza sana
Nitajaribu kupanda kama itakubali
Asante
sawa boss,karibu sana Muda na saa yoyote niko available kupitia number zangu.Lakini pia karibu PM
 
Back
Top Bottom