Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vanil inastawi kwenye maeneo yenyeHii maeneo ya njombe,makete,iringa inakubali?
Boss Labda ufanya kama majaribio.Vanilla ni zao lililoingia Tz mwaka 1992 kutokea Uganda na mkoa wa kwanza kuanza kulima vanilla ni Kagera.Kuanzia hapo mikoa mingine imeendelea ku introduce Vanilla kama zao la kibiasharana imeleta matokea mazuri.Boss hivi vanilla pande za Tabora zinastawi?
Boss Labda ufanya kama majaribio.Vanilla ni zao lililoingia Tz mwaka 1992 kutokea Uganda na mkoa wa kwanza kuanza kulima vanilla ni Kagera.Kuanzia hapo mikoa mingine imeendelea ku introduce Vanilla kama zao la kibiasharana imeleta matokea mazuri.
Mikoa mingine ambayo vanilla imelimwa na kuleta matokeo mazuri ni Morogoro ,Tanga,Mbeya,Arusha,Mwanza,Iringa