Uliwahi kukutana na changamoto ya majani ya miche kujikunja?
Uliwahi kukutana na changamoto ya matunda yako kuwa na wadudu ndani,hali ya kuwa kwa nje yana muonekano mzuri na wa kuvutia?
Kwa hayo na mengine mengi karibu SUA,Horticulture ,hapo utakutana na wahudumu wetu watakao kupa muongozi,ushauri na elimu bure kabisa baada ya kununua miche.