INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

Habari wapendwa,free derivery kwa mteja mmoja wa Dar, siku ya Alhamisi.
Kwa Pacel moja tu yenye miche isiyozidi 50.
Karibuni
 
utaalamu kama huu unapatikana SUA(Horticulture) tu.Karibuni
 
Kuna mtu kaniambia kuna michungwa ya mwaka mmoja na nusu hiv ni kwel!?
Michungwa iliyopo kwenye vitalu vyetu inaanza kutoa matunda baada ya miaka 2-3 boss,kuhusu hiyo ya mwaka 1 na nusu sina idea boss.
Ila limao na ndimu ndio huanza kutoa matunda baada ya mwaka na nusu.
 
Michungwa iliyopo kwenye vitalu vyetu inaanza kutoa matunda baada ya miaka 2-3 boss,kuhusu hiyo ya mwaka 1 na nusu sina idea boss.
Ila limao na ndimu ndio huanza kutoa matunda baada ya mwaka na nusu.
πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»
 
Germantea+karafuu+mchaichai+Pilipilimanga unapata chai yenye ladha tamu,harufu yenye kusisimua na spices hizo ni tiba pia.
Spices zote hizo zinapatikana SUA,Karibuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…