MANAKE MKARI
JF-Expert Member
- Jan 25, 2011
- 299
- 240
Miche ya korosho bei gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunatuma pacels za miche mikoa yote kwa kutumia mabasi boss.Singida naipataje
Nipe utaratibu mkuu
kuanzia miche mingapi mnatuma?Habari,Natumaini mko salama na poleni na majukumu ya kila siku.Karibu ujipatie miche ya kisasa ya matunda.
Tunapatikana Chuo kikuu cha kilimo (SUA) lakini tunatuma na mikoani kwa uaminifu mkubwa.
Pia ipo huduma ya kufanyiwa layout na kupandiwa miche yako shambani kwako,team ya wataalamu inafika mkoa uliopo.Kwa maswali na maelezo zaidi 0719527062/0757056472.Karibu tukuhudumie.View attachment 1557232
inastawi dodoma?ndio mkuu,ipo.Bei ya mche ni sh 3000
Cocoa inastawi ukanda wa joto na ukanda wa baridi pia.inastawi dodoma?
Mbegu ya pemba ipo, Hii unavuna baada ya miaka 3. Lakini pia ipo Africantall, unaanza kuvuna baada ya miaka 8
View attachment 1847256
mint,Mche sh 2000
Naomba kujua faida za pilipili mangandio boss,pilipilimanga tunazo.
Ukanda wa pwani zinastawi vizuri boss wangu.
karibu