Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili tunda gani?!
habari kiongozi, hivi miche ya pilipili manga mnayo na ukanda huu wa pwani kama bagamoyo inastawi?Habari,Natumaini mko salama na poleni na majukumu ya kila siku.Karibu ujipatie miche ya kisasa ya matunda.
Tunapatikana Chuo kikuu cha kilimo (SUA) lakini tunatuma na mikoani kwa uaminifu mkubwa.
Pia ipo huduma ya kufanyiwa layout na kupandiwa miche yako shambani kwako,team ya wataalamu inafika mkoa uliopo.Kwa maswali na maelezo zaidi 0719527062/0757056472.Karibu tukuhudumie.View attachment 1557232
thanks ngoja nijipange, naona ulikuwa busy kidogo. mche mmoja ni bei gani?ndio boss,pilipilimanga tunazo.
Ukanda wa pwani zinastawi vizuri boss wangu.
karibu
Bei?View attachment 1779165
parachichi aina ya HASS