INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

Vp Mizeituni, Nyanya mti (Tamarilo), Mkunazi (Jujube), Mshelisheli?
 
Vp Mizeituni, Nyanya mti (Tamarilo), Mkunazi (Jujube), Mshelisheli?
katika hiyo list yako mkuu,tuna Mizeituni tu,hiyo mingine hatuna.
Mizeituni tuliyonayo ni ile ambayo zaituni zake ni kwa ajili ya kula(tunda) sio kwa ajili ya mafuta
 
asante sana wakuu kwa kuendelea kutuamini, tunawapenda na tunabarikiwa zaidi kuwahudumia.
 

Kwa miche ya jamii moja(Migomba,Citrus,Embe n.k),aina tofauti tofauti,tuna fanya labelling ili kumrahisishia mteja kutofautisha.
 
Habari

Nahitaji miti ya matunda ambayo majani yake hayaliwi na mbuzi/ng'ombe

Unayo ipi?

Asante
 
Asanteni wakuu kwa kuendelea kutuamini,karibuni tena.Lily loves you😍
 
katika vitalu vyetu,zipo aina 8 za miche ya embe
1.Bolibo
2.Dodo(kienyeji)
3.Red indian
4.Kent
5.Alphonso
6.Tommy
7.Embe tanga
8.Apple.mango
 
Zipo aina mbili za papai
1.Calfornia
2.Malkia F1
 
Tuna makundi 2 ya passions
A.Giant passion
B.Passion ndogo

Passion ndogo zipo aina 3
1.Yellow passion
2.Black passion
3.Purple passion
 
Tuna aina mbili za ndimu
1.Seedless
2.Local
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…