INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

umri:Miezi 3
Urefu:Cm 45-50
Aina za embe zilizopo
1.Kent
2.Tommy
3.Alphonso
4.Red indian
5.Dodo(kienyeji)
6.Embe tanga
7.Apple mango
Tunafanya derivery mikoani na Tanzania visiwani pia
0719527062/0757056472
Kati ya haya, lipi ni tamu kupita mengine? Nitajie Top two, please.

Pia yanaanza kuzaa baada ya muda gani?

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
Kati ya haya, lipi ni tamu kupita mengine? Nitajie Top two, please.

Pia yanaanza kuzaa baada ya muda gani?

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
kila moja kwa ladha yake,yote ni matamu mkuu
Aina zote zinaanza kutoa maua baada ya miezi 4,na uzao wa kwanza ni baada ya miezi 7-8.
aina moja tu(Dodo) ni ya kienyeji,hii huanza kuzaa baada ya mwaka 1 na nusu.
 
Maeneo ya Baridi kama nyanda za juu kusini naweza kustawisha miembe na kupata matokeo mazuri??
Kama ndiyo, ni aina gani ya Miche itafaa zaidi??
kwanza samahani kwa kuchelewa kukujibu mkuu.
Pili,maeneo ya baridi au milimani miembe haina matokeo makubwa hasa kama umelenga kulima kibiashara.
 
endapo utanitumia swali au unahitaji maelezo zaidi,kuweka odder n.k na nikachelewa kukujibu kwa wakati,kuwa huru kunitafuta kupitia namba zangu(0719527062/0757056472).

Muda mwingi ninakuwa porini mahali ambapo network inakuwa chini,ninashindwa kuingia jukwaani mara kwa mara.
 
Komamanga hustawi zaidi katika mikoa ya Pwani, yaani DSM, Tanga, Mtwara ambako huko kuna vipindi virefu vya mvua, Joto na ardhi ina unyevunyevu lakini pia hakuna vipindi virefu vya jua.
nahtaj
koma manga 1
papai 2
mzeitun 1
stafel 1
rimao 1
tunda nimelisahau daa lipo ka kiaz mvilingo hiv
nipo chato yawe ya mda mfup mkuu
 
nahtaj
koma manga 1
papai 2
mzeitun 1
stafel 1
rimao 1
tunda nimelisahau daa lipo ka kiaz mvilingo hiv
nipo chato yawe ya mda mfup mkuu
Karibu sana.
odder yajo nimeipokea,naomba unitafute kupitia namba hii 0719527062(whatsapp) ili kunitumia picha ya hilo tunda kama unayo
 
bitroot ni root vegetable,bitroot iko jamii moja na karoti.Nadhani kwa sehemu nimekujibu swali lako mkuu
Nashukuru mkuu, umenijibu vyema kabisa. Kwa msingi huo mbegu zake zinapatikana madukani kama ilivyo kwa karoti na mbogamboga nyingine si ndio?
 
20211205_094322.jpg

strawberry & german tea at home garden😘
 
Kwa msingi huo mbegu zake zinapatikana madukani kama ilivyo kwa karoti na mbogamboga nyingine si ndio?
ndio boss,lakini pia unaweza kunicheck nikakupa namba ya mtu ambae anafanya kazi SUA,Horticulture kitengi cha mbogamboga.
Huenda wakawa na miche
 
ndio boss,lakini pia unaweza kunicheck nikakupa namba ya mtu ambae anafanya kazi SUA,Horticulture kitengi cha mbogamboga.
Huenda wakawa na miche
Sawa mkuu nitakucheki maana pia ninahitaji miche ya matunda
 
Back
Top Bottom