Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kati ya haya, lipi ni tamu kupita mengine? Nitajie Top two, please.umri:Miezi 3
Urefu:Cm 45-50
Aina za embe zilizopo
1.Kent
2.Tommy
3.Alphonso
4.Red indian
5.Dodo(kienyeji)
6.Embe tanga
7.Apple mango
Tunafanya derivery mikoani na Tanzania visiwani pia
0719527062/0757056472
kila moja kwa ladha yake,yote ni matamu mkuuKati ya haya, lipi ni tamu kupita mengine? Nitajie Top two, please.
Pia yanaanza kuzaa baada ya muda gani?
Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
Maeneo ya Baridi kama nyanda za juu kusini naweza kustawisha miembe na kupata matokeo mazuri??
kwanza samahani kwa kuchelewa kukujibu mkuu.Maeneo ya Baridi kama nyanda za juu kusini naweza kustawisha miembe na kupata matokeo mazuri??
Kama ndiyo, ni aina gani ya Miche itafaa zaidi??
nahtajKomamanga hustawi zaidi katika mikoa ya Pwani, yaani DSM, Tanga, Mtwara ambako huko kuna vipindi virefu vya mvua, Joto na ardhi ina unyevunyevu lakini pia hakuna vipindi virefu vya jua.
Karibu sana.nahtaj
koma manga 1
papai 2
mzeitun 1
stafel 1
rimao 1
tunda nimelisahau daa lipo ka kiaz mvilingo hiv
nipo chato yawe ya mda mfup mkuu
pwpw bossKaribu sana.
odder yajo nimeipokea,naomba unitafute kupitia namba hii 0719527062(whatsapp) ili kunitumia picha ya hilo tunda kama unayo
Mkuu hivi bitroot ni tunda au kiazi?Karibu sana.
odder yajo nimeipokea,naomba unitafute kupitia namba hii 0719527062(whatsapp) ili kunitumia picha ya hilo tunda kama unayo
Nashukuru mkuu, umenijibu vyema kabisa. Kwa msingi huo mbegu zake zinapatikana madukani kama ilivyo kwa karoti na mbogamboga nyingine si ndio?bitroot ni root vegetable,bitroot iko jamii moja na karoti.Nadhani kwa sehemu nimekujibu swali lako mkuu
Kwa msingi huo mbegu zake zinapatikana madukani kama ilivyo kwa karoti na mbogamboga nyingine si ndio?karibu boss
ndio boss,lakini pia unaweza kunicheck nikakupa namba ya mtu ambae anafanya kazi SUA,Horticulture kitengi cha mbogamboga.Kwa msingi huo mbegu zake zinapatikana madukani kama ilivyo kwa karoti na mbogamboga nyingine si ndio?
Sawa mkuu nitakucheki maana pia ninahitaji miche ya matundandio boss,lakini pia unaweza kunicheck nikakupa namba ya mtu ambae anafanya kazi SUA,Horticulture kitengi cha mbogamboga.
Huenda wakawa na miche