INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

Lily miche ya apple ikiwa tayari nijulishe tafadhali. Asante kwa ile mingine
Oh sawa dear.Asante kwa support yako.Tukiwa tunasubiri miche ya apple iwe tayari,naomba kuna namba nikutumie inbox uwasiliane nae.Nina amini atakuwa na miche ya apple iliyo tayari kuuza
 
Mna miche ya migomba ya ndizi za kuiva aina ya Williamson? Miche ya mipapai na mipera ya muda mfupi? Ni muda gani inaweza kuanza kuzaa kwa kila aina ya matunda niliyotaja hapo juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…